
MWAMBA HUYU ANA BALAA ZITO UWANJANI
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ana balaa zito ndani ya uwanja kutokana na kutimiza majukumu yake kwa umakini akishirikiana na wachezaji wengine katika kusaka pointi tatu ndani ya ligi huku akiwa namba moja kwa wazawa wenye mabao mengi.