
MTIBWA SUGAR KWENYE NYAKATI NZITO
NDANI ya msimu wa 2023/24 yamekuwa ni mapito magumu kwa Mtibwa Sugar inayopambana kubaki ndani ya ligi kwa kusaka matokeo katika mechi zilizobaki. Sio nyumbani wala ugenini hali haijawa nzuri katika kupata matokeo ndani ya dakika 90 uwanjani chini ya Kocha Mkuu, Zuber Katwila. Aprili haijawa njema pia katika mashindano yake yote iligotea hatua ya…