
JIKUMBUSHE KUHUSU TAARIFA ZA WACHEZAJI AMBAO HAWAPO FITI YANGA
MPANGO mkubwa kwa Yanga ilikuwa ni kupata matokeo mazuri mbele ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ilikuwa ni mchezo wa kimataifa na Mudathir Yahya alikuwa mbeba mchezo Machi 30 2024
MPANGO mkubwa kwa Yanga ilikuwa ni kupata matokeo mazuri mbele ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ilikuwa ni mchezo wa kimataifa na Mudathir Yahya alikuwa mbeba mchezo Machi 30 2024
BAADA ya Machi 12 2024 droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika kupangwa ambapo kila timu iliyokuwa hatua ya robo fainali ilipata fursa ya kutambua kigogo yupi atakutana naye ndani ya uwanja kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza. Ipo wazi kwamba Simba kete yake ilikuwa dhidi ya Al Ahly ya Misri mchezo uliokuwa ukisubiriwa kwa shauku…
KIUNGO wa kazi ndani ya Yanga Khalid Aucho mdogomdogo anazidi kurejea kwenye ubora wake akiendelea na mazoezi kwa ajili ya kuwa tayari kwa mechi za ushindani kitaifa na kimataifa. Nyota huyo alikosekana kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns kwa kuwa alikuwa hajafikia asilimia 100 ya kuwa tayari kwa mapambano kwenye…
MBELE ya Al Ahly, Simba walipoteza nafasi nyingi na mwisho kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 Uwanja wa Mkapa huku Kibu Dennis akiwa katika ubora akiwa na kila kitu kasoro umaliziaji tu hapo ndo pasua kichwa. Simba wanakazi ngumu yakufanya kimataifa kwa kuwa wanatambua Al Ahly wakiwa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika huwa wanabadilika ni kweli…
Promosheni kubwa na maalum kwaajili ya kugawa pesa kwa wapenzi wa michezo ya kasino ya mtandaoni ipo hewani sasa, unaweza kushinda mpaka 1,000,000/= TZS ukicheza sloti na michezo ya kasino kutoka kwa mtoa huduma wa Expanse. Jisajili Meridianbet kama bado ufurahie promosheni hii yenye kukupa bonasi za kasino kibao. Huu ni mwezi wa shangwe na…
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha kwamba kwa namna ambavyo wachezaji wake wamejitoa mbele ya wapinzani wao Mamelodi Sundowns hana cha kuwadai zaidi ya kufanyia kazi makosa yao. Machi 30 2024 ubao wa Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya dakika 90 ulisoma Yanga 0-0 Mamelodi Sundowns kwenye hatua…
MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama ndani ya kikosi cha Simba ni namba moja kwa nyota ambao wamehusika kwenye mabao mengi ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa amefurahishwa na utendaji wa kazi wa wachezaji wake kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns. Kitendo hicho ni sawa na kuwapa tano wachezaji wake huku wakipiga hesabu za kupata ushindi kwenye mchezo wa mkondo wa pili ugenini utakaoamua nani ni nani atakeyetinga…
WAARABU wa Misri, Al Ahly wameacha balaa zito ndani ya Simba kutokana na kuwaduwaza Uwanja wa Mkapa wakisepa na ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali. Kazi kubwa kwa Simba ni kupambana kusaka ushindi kwenye mchezo wa mkondo wa pili unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Taifa wa Cairo Aprili 5 2024….
UONGOZI wa Simba licha ya Machi 29 2024 mambo kuwa magumu kwao kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 0-1 Al Ahlyumebainisha kuwa matumaini bado yapo kufanikisha malengo yao. Ipo wazi kwamba malengo ya Simba kwenye anga la kimataifa ni kufika hatua ya nusu fainali jambo ambalo wanalipambania kwa sasa. Katika mchezo huo…
ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wale wengi wanaofikiria safari ya Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika itagotea hatua ya robo fainali hawataamini macho yao kwa kuwa wanaamini watafanya vizuri. Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, Machi 30 inatarajiwa kutupa kete ya kwanza katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya…
Hii inaweza kusema wamefikiwa sasa kwani baada ya mabingwa michezo ya kubashiri Meridianbet kupita maeneo mbalimbali ya jijini Dar-es-salaam lakini hawakua wamefika katika eneo la Magomeni na kutoa msaada. Meridianbet wamelifikia eneo la Magomeni na kufanikiwa kugawa Reflectors kwa Bodaboda wa eneo hilo kama ilivyo utaratibu wa kampuni ya Meridianbet kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii yao…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa licha ya ubora ambao walikuwa nao wakipoteza mbele ya Al Ahly wana nafasi ya kufanyia kazi makosa yao kuelekea mchezo wa marudio Caro. Mbele ya mashabiki wao waliojitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa, Machi 29 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba walishuhudia ubao ukisoma Simba 0-1 Al…
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa pale wanapokatiwa tamaa kushindwa kufanya vizuri kwenye anga la kimataifa hapo wanapataka kwa kuwa ni njia kwao kuoyesha uwezo wao ndani ya uwanja na inawezekana. Machi 30 Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi inatarajiwa usaka ushindi dhidi ya Mamelodi Sundwons Uwanja wa Mkapa ikiwa ni hatua ya robo fainali…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga leo watakuwa Uwanja wa Mkapakusaka ushindi dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Kwenye mchezo wa leo mitambo ya kazi ambayo haikuwa fiti inatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi miongoni mwao ni Khalid Aucho, Pacome, Zawad Mauya huku YaoYao na Kibwana Shomari ripoti ya daktari itaamua uwepo…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ana balaa huyo ndani ya uwanja kutokana na kutimiza majukumu yake kwa umakini akishirikiana na wachezaji wenzanke ndani ya uwanja katika kusaka ushindi. Ni namba moja kwa utupiaji ndani ya ligi katika kikosi cha Yanga akiwa na mabao 13.
Unaambiwa hivi ukiwa na Meridianbet suala la kukosa hela ni kuamua wewe tu, lakini kupitia michezo ya kasino ya mtandaoni kibao unaweza kuingiza pesa ndefu sana kila siku. Kuna huu mchezo unaitwa Super Heli kasino unakupa ushinndi mkubwa na zawadi kibao kama vile TV, Simu Janja na Bonasi za kasino kama zote. Mtoa…