
SIMBA KUWAVAA WAARABU KWA HESABU HIZI
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa upo tayari kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly unaotarajiwa kuchezwa Aprili 5 2024 nchini Misri. Tayari kikosi cha Simba kimewasili Misri ilikuwa mapema Aprili 3 ambapo walipata muda wa kufanya mazoezi mepesi na Aprili 4 wanatarajiwa kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo huo. Ipo wazi…