
YANGA YAKWEAA PIPA KUWAFUATA MAMELODI
KUELEKEA mchezo wa mkondo wa pili Mamelodi Sundowns dhidi ya Yanga, wawakilishi kutoka Tanzania Yanga wamewafuata wakiwa kamili gado. Kàtika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Yanga 0-0 Mamelodi Sundowns hivyo dakika 90 za ugenini zitaamua nani atasonga mbele hatua ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Kwenye msafara wa Yanga miongoni mwao ni…