
MITAMBO YA KAZI YANGA IPO KAMILI KIMATAIFA
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga leo watakuwa Uwanja wa Mkapakusaka ushindi dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Kwenye mchezo wa leo mitambo ya kazi ambayo haikuwa fiti inatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi miongoni mwao ni Khalid Aucho, Pacome, Zawad Mauya huku YaoYao na Kibwana Shomari ripoti ya daktari itaamua uwepo…