
BEKI HUYU WA KAZI KUMALIZANA NA SIMBA
INATAJWA kwamba Simba ipo kwenye mpango wa kumalizana na beki wa kazi kutoka Coastal Union Lamek Lawi kwa ajili ya kumpa dili la kuitumikia timu hiyo msimu wa 2024/25.
INATAJWA kwamba Simba ipo kwenye mpango wa kumalizana na beki wa kazi kutoka Coastal Union Lamek Lawi kwa ajili ya kumpa dili la kuitumikia timu hiyo msimu wa 2024/25.
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Ally Mangungu amemteua, Dr. Kailima Ramadhani Kombwey kuwa mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Sports Club Company Limited. Taarifa ya Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo imebainisha kuwa Dkt. Kailima ataungana na wajumbe wengine waliochaguliwa kuiwakilisha Simba Sports Club katika bodi ya Wakurugenzi, sambamba na wajumbe…
NYOTA wa Simba kwa msimu wa 2023/24 ambaye alikuwa ingizo jipya kwenye kikosi hicho ndo basi tena kwa msimu wa 2024/25 hatakuwa kwenye uzi wa nyekundu nyeupe. Ni Shaban Chilunda amekutana na Thank You kutoka kwa timu hiyo ambayo ipo kwenye maboresho kuelekea msimu mpya baada ya kugotea nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu Bara…
Kasino Imetawaliwa na michezo mingi, kuna mchezo wa Roulette ambao Dkt Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo huo wa kasino ya mtandaoni, ambapo yeye binafsi alikuwa akifika kwenye jumba la kasino majokeri wenzake wanamkimbia kwa kuogopa kupunwa pesa zao. Jisajili Meridianbet ili na wewe uanze kuweka heshima kwenye kasino. Dkt Jerecki alifariki akiwa na miaka 80…
MWAMBA Aziz Ki ni mtambo wa kuvunja rekodi ndani ya kikosi cha Yanga kutokana na kasi yake kuwa kwenye mwendelezo bora wakati wote kwenye mechi za Ligi Kuu Bara. Ikumbukwe kwamba aliibuka Yanga akitokea ASEC Mimosas ya Ivory Coast msimu wa 2022/23 ambapo alikuwa akitajwa pia kuwaniwa na Simba inayonolewa na Juma Mgunda. Ki aliyetambulishwa…
TAYARI dirisha la usajili limefunguliwa ambapo kuna wachezaji wanawindwa na timu tofauti Bongo huku kukiwa na maboresho kwenye timu mbalimbali ikiwa ni pamoja na Simba. Kuna wachezaji ambao wanakutana na Thank You kwa wakati huu alianza nahodha John Bocco kisha Saido Ntibanzokiza kuna orodha ndefu inafuata.
Timu nne leo zipo uwanjani kusaka pointi tatu za kwanza kwenye michuano ya EURO, na wewe beti na Meridianbet uibke bingwa mpya sasa. Suka jamvi lako na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania. Mechi ya kwanza itakuwa ni Turkey dhidi ya Georgia majira ya saa moja usiku leo huku kwa upande wa Meridianbet wakimpa nafasi kubwa…
TAARIFA kutoka Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) imeeleza kuwa timu tano Bongo zimefungiwa kufanya usajili wao kwa wakati huu mpaka zitakapokamilisha malipo ya wachezaji ambao wanawadai. Kwenye orodha ya timu hizo tano mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 Yanga wamo pia katika orodha hiyo ambapo ili wafanye usajili jambo moja linatakiwa kukamilika haraka…
WAKATI maboresho ndani ya kikosi cha Simba yakiendelea inatajwa kwamba kuna hesabu za kuinasa saini ya mshambuliaji wa KMC, Wazir Junior ambaye ni kinara kwa wakali wakutupia eneo la ushambuliaji. Ikumbukwe kwamba Wazir ndani ya KMC ni mabao 12 alitupia na katika hayo mawili aliwafunga Simba kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex langoni alianza…
WAKATI jina la mfungaji bora ndani ya ligi msimu wa 2023/24 Aziz Ki kiungo mshambuliaji wa Yanga likitajwa kuwa kwenye hesabu za watani zao wa jadi Simba, bosi wa Yanga amefungukia ishu hiyo. Ni mabao 21 Ki alifunga akitoa pasi 8 za mabao na alihusika kwenye mabao 29 ndani ya timu hiyo inayonolewa na Kocha…
Kasino Inalipa sana! Watu wengi wametajrika kwa kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Sababu kubwa zipo mbili, kwanza ni rahisi kucheza kasino, pili unaweka dau lolote ulilonalo. Jisajili Meridianbet kuanza safari ya kufukuzia Utajiri. Meridianbet kuna michezo mingi sana ya Kasino ya Mtandaoni, lakini moja kati ya michezo rahisi kabisa wa kasino ni Sloti ya…
MOJA ya washambuliaji bora ndani ya Bongo kwa wazawa ambaye alikuwa ndani ya kikosi cha Simba John Bocco amepewa mkono wa asante. Nyota huyo kafunga zaidi ya mabao 100 ndani ya ligi akiwa ni mshambuliaji mwenye mabao mengi kwa wazawa rekodi ambayo inaishi. Ipo wazi kwamba kwa msimu wa 2023/24 haukuwa bora kwake Bocco ambapo…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa msimu ujao kikosi hicho kitakuwa ni balaa kutokana na maboresho ambayo yatafanyika kwenye kila idara. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa wa ligi wakiwa na pointi 80 baada ya kucheza mechi 30 huku mfungaji bora akiwa ni Aziz KI mwenye mabao 21 akifuatiwa na Feisal Salum mwenye mabao 19…
WAKATI wakitajwa kuwa wachezaji wengi wa Simba miaka imekwenda jambo lililofanya wakashindwa kufanya vizuri ndani ya ligi na Ligi ya Mabingwa Afrika benchi la ufundi la Simba limefafanua kuhusu ishu hiyo. Miongoni mwa wachezaji waliofanya vizuri ndani ya Simba ni pamoja na Saido Ntibanzokiza ambaye ni namba moja kwa utupiaji katika kikosi cha Simba akifunga…
Klabu ya Tabora United imefanikiwa kusalia Ligi Kuu bara baada ya ushindi wa jumla wa 2-1 dhidi ya BIASHARA United kwenye michezo miwili ya mchujo ‘playoffs’ wa kuepuka kushuka daraja. FT: Tabora United 2-0 Biashara United (Agg. 2-1) ⚽ Patrick Lembo (P) 27’ 55’ Biashara United iliibuka na ushindi wa 1-0 kwenye ‘playoff’ ya kwanza…
Bao pekee la Jude Bellingham limeipatia England pointi tatu dhidi ya Serbia katika mchezo wa Kundi C wa EURO 2024. FT: Serbia 0-1 ?????? England ⚽ Bellingham 13′ MSIMAMO KUNDI C ??????? England — Pts 3 ?? Slovenia — 1 ?? Denmark — 1 ?? Serbia — 0
Rais wa heshima na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba, Mohammed Dewji ametangaza wajumbe sita ambao atafanya nao kazi upande wa muwekezaji . Hili limekuja siku chache baada ya Try Again kujiuzulu na wajumbe wengine kujiuzulu nafasi zao kwenye bodi hiyo 1.Cresentius Magori 2.Hussein Kita 3.Salim Abdallah Tryagain 4.Mohammed Nassoro 5.Zulfikar Chandu 6.Rashidi Shangazi