
JUDE BELLINGHAM AIPATIA ENGLAND POINTI TATU DHIDI YA SERBIA
Bao pekee la Jude Bellingham limeipatia England pointi tatu dhidi ya Serbia katika mchezo wa Kundi C wa EURO 2024. FT: Serbia 0-1 ?????? England ⚽ Bellingham 13′ MSIMAMO KUNDI C ??????? England — Pts 3 ?? Slovenia — 1 ?? Denmark — 1 ?? Serbia — 0