
AZAM FC KUWAKABILI MTIBWA SUGAR MANUNGU
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wameweka kambi mji kasoro bahari, Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar. Azam FC imetoka kupata ushindi wa mabao 4-1 Namungo kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali CRDB Federation Cup inakutana na Mtibwa Sugar iliyowafungashia virago kwenye hatua…