
BOSI YANGA ASISITIZA KUTOCHEZA KARIAKOO DABI
UONGOZI wa Yanga umeibuka na kusisitiza kuwa hawatacheza mchezo wa Kariakoo Dabi uliopangwa kuchezwa Juni 15, mwaka huu dhidi ya Simba . Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali Kamwe alisema kuwa wao wanachojua wamebakisha michezo miwili ya Ligi Kuu Bara na siyo mitatu . “Akili yetu imejikita kwenye kuzimaliza kwa kishindo mechi zetu…