
ANA KITU HUYU NYOTA MPYA WA YANGA
ANATAJWA kuwa kwenye rada za mabosi wa Yanga ambao wapo kwenye mpango wa kuboresha kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi
ANATAJWA kuwa kwenye rada za mabosi wa Yanga ambao wapo kwenye mpango wa kuboresha kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa ulikuwa kwenye wakati mgumu katika kutafuta matokeo hivyo kuja kwa Kocha Mkuu, Juma Mgunda kumetuliza hali kutokana na kocha huyo kuwaamini vijana na wachezaji wote wanafanya vizuri huku akibainisha kuwa walikuwa wamechafukwa kutokana na mwendo ulivyokuwa ndani ya timu hiyo.
KIBU Dennis amesaini, Clatous Chama mambo magumu Simba, Aziz KI, Yanga kimeeleweka ndani ya gazeti la Championi Ijumaa
UONGOZI wa Azam FC umebainisha kuwa walishindwa kutumia nafasi ambazo walipata katika Mzizima Dabi dhidi ya Simba uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 9 2024. Katika mchezo huo baada ya dakika 90 ubao ulisoma Azam FC 0-3 Simba na pointi tatu zikaelekea Msimbazi. Katika mchezo huo kiungo mshambuliaji Feisal Salum alikosa pigo la penalti dakika ya…
Kimbunga Hiadaya kilikuja na madhara makubwa sana katika maeneo ya ukanda wa pwani hususani Lindi, lakini Kimbunga cha Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kinakuja na Utajiri. Shinda Sehemu ya Kitita cha Tuzo chenye thamani hadi Shilingi Milioni mia moja na thelathini na tisa. Jisajili na Meridianbet kushiriki kwenye shindano la Short Races. Meridianbet wamezindua safari…
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamepoteza pointi tatu mbele ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda katika mchezo wa mzunguko wa pili uliokuwa na ushindani mkubwa. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Azam FC 0-3 Simba. Ni Sadio Kanoute alipachika bao la ufunguzi dakika ya 63 kamba ya pili ni…
Leo hii una nafasi ya kupiga mkwanja wa maana ukibashiri mechi zako na meridianbet. Machaguo zaidi ya 1000 na ODDS KUBWA zipo hapa. Unasubiri nini ingia sasa kwenye akaunti yako na usuke jamvi hapa. Atalanta chini ya Gasperini dhidi ya Olympique Marseille ambapo mechi ya kwanza walitoshana nguvu hivyo leo ni kama wanaanza upya. Atalanta…
KIPA wa Simba, Ayoub Lakred rekodi zinaonyesha kwamba ni mechi 14 ameanza langoni msimu wa 2023/24 akiwa na uzi wa timu hiyo yenye maskani Msimbazi. Kwenye mechi hizo amekomba dakika 1,260 akitunguliwa kwenye mechi 7 na hakutungiliwa kwenye mechi 7 pia ikiwa ni nusunusu ndani ya uwanja. Ipo wazi kwamba kikosi cha Simba ndani ya…
MKALI kutoka kwa matajiri wa Dar, Ayoub Lyanga anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa mitaa ya Jangwani, Yanga kwa ajili ya kupata changamoto mpya. Ipo wazi kuwa nyota huyo ambaye ameibukandani ya Azam FC akitokea Coastal Union alikuwa anapigiwa hesabu na mabosi hao kitambo. Ni Yanga na Simba walikuwa wanahitaji saini yake lakini Azam…
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Mei 9 2024 uongozi wa Simba umebainisha kwamba bado haujamaliza. Simba ipo chini ya Kocha Mkuu Juma Mgunda ina kazi yakusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Azam FC ambao nao wanazihitaji pointi tatu pia. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa…
AZIZ KI kiungo mshambuliaji wa Yanga kahusika kwenye mabao 23 ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Wakati ubao wa Uwanja wa Azam Complex, Mei 8 2024 ukisoma Yanga 1-0 Kagera Sugar alitoa pasi moja ya bao. Ilikuwa ni dakika ya 83 pasi hiyo alitoa na kumpa mwamba Mudathir Yahya ambaye aliingia kwenye…
WAKATI ikiwa ni saa kadhaa zinahesabika kufika mchezo wa Mzizima Dabi, Uwanja w Mkapa, rekodi zinaonyesha kuwa Azam FC wana balaa kwenye eneo la ushambuliaji kutokana na kasi yao kuwa hivyo. Msimu wa 2023/24 haujawa bora kwa Simba katika eneo la ushambuliaji kutokana na aina ya washambuliaji waliopo kukosa nafasi wanazozipata kwenye mechi zao. Kinara…
Real Madrid imetinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa jumla wa 4-3 dhidi ya Bayern Munich kwenye nusu fainali. FT: Real Madrid ?? 2-1 ?? Bayern Munich (Agg. 4-3) ⚽ Joselu 88’ ⚽ Joselu 90+2’ ⚽ Davies 68’ Real itachuana na Borussia Dortmund kwenye fainali itakayopigwa Juni 1, 2024 Jijini London katika…
AMETAJWA kwenye ishu ya kusepa na tuzo ya mfungaji bora mwamba Fred Michel wa Simba na Pasi Milioni, ikumbukwe kwamba nyota huyo kafunga mabao matano ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24
Nchi ya Misri imebeba karibia asilimia kubwa ya mambo ya kale kwenye ulimwengu huu, mambo mengi sana kuhusu historia ya kale ipo Misri, mchezo wa Moon of Thoth moja kati ya kasino iliyobeba historia ya mambo ya kale inatoa bonasi na jackpot za aina tatu. Jisajili Meridianbet kujiunga kwenye safari ya utajiri. “Moon of Thoth”…
YANGA imesepa na pointi tatu za Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Bao pekee la ushindi limefungwa na kiungo mshambuliaji Mudathir Yahya dakika ya 83 akitumia pasi ya Aziz KI kiungo wa Yanga ambaye anafikisha pasi 8 za mabao. Yanga ni pointi 68 wanafikisha ndani ya ligi wakiwa…
40 Imperial Crown kasino ya mtandaoni yenye safu tano zilizopangwa katika nguzo nne na una jumla ya mistari 40 ya malipo. Ili kuweza kushinda, ni lazima kuunganisha alama tatu au zaidi za kufanana kwenye mstari wa malipo. Kuwa sehemu ya washindi kwenye mchezo huu kwa kujisajili Meridianbet upate bonasi za kasino na bonasi ya ukaribisho….