
MTIBWA SUGAR HAINA HOFU NA SIMBA
KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuber Katwila amesema kuwa hawana hofu na mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Azam Complex, Mei 3 2024. Ipo wazi kwamba mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja…