
MAPEMA BIASHARA KWA YANGA IMEKWISHA
BIASHARA imeeanza mapema ndani ya Yanga inayopambana kufikia malengo ya kutwaa taji la Ligi Kuu Bara ikiwa chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi ambapo kuna wachezaji ambao wamemalizana na timu hiyo kwa ajili ya kuja kupata changamoto mpya.