
YANGA BALAA KWENYE UTUPIAJI HUKO
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Yanga ni balaa kwenye utupiaji wakiwa ni namba moja katika timu iliyofunga mabao mengi msimu wa 2023/24. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ni mabao 60 timu hiyo imefunga baada ya kucheza jumla ya mechi 27 ikibakiwa na mechi tatu kukamilisha mzunguko wa pili. Kinara wa utupiaji ndani ya Yanga…