
AMETOA ONYO BOSI SIMBA ISHU YA KIBU
AMETOA onyo bosi Simba ishu ya Kibu Dennis kuwa kwenye hesabu na timu nyingine pamoja na saini yake
AMETOA onyo bosi Simba ishu ya Kibu Dennis kuwa kwenye hesabu na timu nyingine pamoja na saini yake
Mabingwa hawasauliki ndani ya meridianbet hasa ukiwa na Airtel Money, kwa kuthamini wateja wetu wa airtel tumewaletea promosheni itakayowapa nafasi ya kutoboa kibingwa kwenye kila muamala watakofanya kupitia airtel Money. Meridianbet tunasema ukitaka tobo basi bashiri nasi utoboe kibingwa. Ni siku tisini za kutoboa kibingwa na meridianbet hasa ukitumia airtel money, kuanzia leo hii ya…
Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea tena leo Mei 13, 2024 huku macho na masikio yakielekezwa katika dimba la Manungu Complex, Turiani Morogoro ambapo Wananchi wanatarajiwa kutangazwa kuwa Mabingwa wa Ligi Kuu kwa mara ya 30 kihistoria ikiwa watachukua pointi tatu dhidi ya Wakata Miwa. 16:00 | Mtibwa Sugar vs Yanga Sc ?️ Manungu…
Mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England zimechukua sura mpya baada ya Washika Mitutu, Arsenal kurejea kileleni mwa msimamo wa Ligi kufuatia ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Mashetani Wekundu katika dimba la Old Trafford. FT: Man United 0-1 Arsenal ⚽ Trossard 21’ MSIMAMO ?2️⃣ ? Arsenal— mechi 37 — pointi 86 ? Man City…
Promosheni ya kuvuna mahela ya Meridianbet bado inaendelea kusaka washindi, Tsh 400,000,000/= zinakusubiri wewe, huenda unajichelewesha mwenyewe kuwa tajiri. Jisajili Meridianbet kisha shiriki kwenye shindano la kutafuta washindi kupitia michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma Expanse. Wakati unaposhiriki shindano hili hakikisha tu unakuwa umejiandaa kutwaa ubingwa, mafanikio huanza na nia, katika safari…
MTIBWA Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu,Zuber Katwila ina kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ikiwa itapata ushindi kwenye mchezo wa leo itafikisha pointi 71 ikizidi kuwa namba moja na kufikia pointi zitakazowapa ubingwa. Itakuwa ni ubingwa wa 30 kwa Yanga ndani…
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa walikuwa na nafasi kubwa ya kupata matokeo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar nafasi hawakuzitumia. Ubao wa Uwanja wa Kaitaba umesoma Kagera Sugar 1-1 Simba baada ya dakika 90 ambapo Simba walianza kufunga kwenye mchezo wa leo. Ladack Chasambi alifungua akaunti ya…
Unaanzaje Jumapili yako bila kubashiri na Meridianbet ambao ni mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania yaani wanazingatia kila kitu ambacho wewe unakitaka. Ingia kwenye akaunti yako sasa na utengeneze jamvi lako sasa. LIGUE 1 kule Ufaransa kuna pesa kibao, PSG atamulaika Toulouse nyumbani kwake ambapo timu hizi zimepishana pointi 30. Mechi ya kwanza walitoshana nguvu lakini…
Shindano la Expanse ndani ya Meridianbet Kasino linaelekea kupata washindi, cheza michezo ya Expanse kujiweka kwenye nafasi ya kushinda bonasi za kasino, mizunguko ya bure na kitita cha TZS 400,000,000 Jisajili Meridianbet kushiriki Promosheni hii. Mtoa huduma wa michezo ya kasino ya mtandaoni Expanse Studio anashirikiana na Meridianbet kuwaletea shindano kubwa la zawadi, mgao wa…
KIKOSI cha Simba leo Mei 12 kinakazi ya kusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Kaitaba. Ikumbukwe kwamba mchezo uliopita kwa Simba ilikuwa ni Mzizima Dabi, Mei 9 2024 walishuhudia ubao ukisoma Azam FC 0-3 Simba. Inakutana na Kagera Sugar inayocheza mpira wa kasi na kujilinda kwa nguvu ikiwa imetoka kupoteza kwa…
MWAMBA Mudathir Yahya ndani ya Ligi Kuu Bara ana balaa zito kutokana na kazi anayofanya katika kutimiza majukumu yake akishirikiana na wachezaji wengine. Alipokuwa huru alikuwa akitajwa kuhitajika ndani ya kikosi cha Simba baada ya kuachana na mabosi wake Azam FC ambao walieleza kuwa walifikia hatua ya kuachana na nyota huyo kwa kuwa hakuwa tayari…
AHMED Ally,Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa kwa namna yoyote ile walikuwa wanaifunga Azam FC kwenye Mzizima Dabi bila kujali uwepo ama kutukuwepo kwa mwamba Prince Dube huku akiliibua upya sakata la nyota huyo
Kauli pekee ambayo unaweza kutumia ni kua furaha imetawala siku ya kina Mama duniani eneo la Kigamboni, Kwani mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet ndio waliofanikisha furaha hiyo kwa kutoa msaada katika eneo hilo Imekua utamaduni kwa magwiji hao wa michezo ya kubashiri wamekua wakijitahidi kurudisha kwenye jamii yao na leo wamefanikiwa kutoa…
Manchester City imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England kufuatia ushindi mnono wa 4-0 dhidi ya vigogo wa London, Fulham katika dimba la Craven Cottage. FT: Fulham 0-4 Man City ⚽ Gvardiol 13’ ⚽ Foden 59’ ⚽ Gvardiol 71’ ⚽ Alvarez 90+7’ MSIMAMO ?3️⃣ ? Man City — mechi 36 — pointi 85 ?…
VITA ndani ya tano bora ni kali msimu wa 2023/24 kwa kila timu kupambania pointi tatu ndani ya dakika 90 kufikia malengo yao. Ikumbukwe kwamba Mei 10 2024 vumbi kwenye ligi iliendelea huku Coastal Unio wakionyesha ubabe mbele ya wakali kutoka Singida, Singida Fountain Gate ambao kwa sasa makazi yao yapo Mwanza. Baada ya dakika…
NDANI ya tatu bora msimu wa 2023/24 kikosi cha Simba kwenye ulinzi ni pasua kichwa baada ya kucheza mechi 25 kwenye mechi za ushindani. Ni Kariakoo Dabi mzunguko wa kwanza unaingia kwenye orodha ya mchezo ulikusanya mabao mengi kwa Simba mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Kwenye mchezo huo ubao ulisoma Simba 1-5 Yanga na pointi…
Utamu unaanza hii leo ukiaanza kubashiri na Meridinabet ambao ndio mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania. Unachagua kila ambacho unakitaka wewe. Pesa ipo wazi yaani. Usisubiri kuahadithiwa. Ligi kuu ya Hispania LALIGA kuna mechi za pesa kibao, majira ya saa 11:15 jioni Villarreal atakuwa mwenyeji wa Sevilla ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee….