
MABINGWA WA LIGI KUU ENGLAND MAN CITY, ARSENAL NAMBA MBILI
MABINGWA wa Ligi Kuu England ni Manchester City baada ya kumaliza msimamo waliwa na pointi 91 tofauti ya pointi mbili na washika bunduki Arsenal. Arsenal ilikuwa katika ubora wake ndani ya 2023/24 imegotea nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu England ambayo ushindani wake ni mwanzo mwisho. Ipo wazi kuwa Mei 19 2024 ilikuwa ni mechi…