AZIZ RASMI MALI YA YANGA, KIJANI NA NJANO UZI WAKE

MABORESHO ndani ya kikosi cha Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi yanaendelea ambapo wamemtambulisha mtu mwingine wa kazi ndani ya kikosi hicho. Anaitwa Aziz Andambwile ambaye alikuwa anakipiga ndani ya kikosi cha Singida Fountain Gate msimu wa 2023/24. Ipo wazi kwamba Julai 9 2024 Aziz ametambulishwa Yanga baada ya kufanyiwa vipimo vya afya tayari…

Read More

Ushindi Hadi Tsh Mil 300 Ukicheza Short Race Kasino

Hivi ikitokea umepata bahati ya kuingia kwenye mashindano ya kushindania Mamilioni, ukiwa kinara kwenye mbio hizo utachukua kiasi gani cha pesa, endapo utapata nafasi ya kujichagulia kiwango? Jisajili Meridianbet Kasino kuwa mshindi.   Kupitia Promosheni mpya mjini ya Kasino, unaweza kuwa Milionea kirahisi kabisa, cheza michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet iliyopo kwenye promosheni…

Read More

CHUMA CHA KAZI KIMEANZA BALAA HUKO JANGWANI

CHUMA cha kazi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, Prince Dube kimeanza kazi kwa ajili ya msimu mpya wa 2024/25 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ipo wazi kwamba Julai 8 2024 Dube ambaye ni muuaji anayetabasamu alikuwa na uzi wa kijani na njano na kuanza mazoezi kwenye changamoto yake mpya….

Read More

MWAMBA KIBWANA SHOMARI BADO YUPO YANGA

BADO yupoyupo sana ndani ya kikosi cha Yanga mwamba Kibwana Shomari ambaye ni mzawa baada ya kuongeza kandarasi nyingine. Yanga kupitia kwa Ofisa Habari Ali Kamwe walibainisha kwamba watafanya usajili bora utakaozingatia vigezo vya uwezo kwa wachezaji ili kuongeza ushindani ndani ya timu. “Kila mchezaji ana nafasi ya kuonyesha uwezo wake na tunaamini kwenye ubora…

Read More

MWAMBA HUYU HAPA YUPO BADO SIMBA

MWAMBA Ayoub Lakred ataendelea kuwa ndani ya kikosi hicho baada ya kuongeza kandarasi nyingine hivyo ni uhakika msimu wa 2024/25 atakuwa na uzi wenye rangi nyekundu na nyeupe. Ipo wazi kwamba awali Lakred ilikuwa inatajwa kuwa kipa huyo yupo kwenye hesabu za kurejea Morocco ambapo kuna timu kubwa zilikuwa zinawania saini yake. Miongoni mwa timu…

Read More

KIPA WA MPIRA HUYU HAPA NDANI YA YANGA

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Yanga wameendelea na maboresho ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu,Miguel Gamondi kwa kumtambulisha kipa wa mpira kuwa ingizo jipya. Ni kipa wa kazi Khomeiny Abubakary akitokea Ihefu atakuwa kwenye changamoto mpya ndani ya Yanga kwa msimu wa 2024/25 akitimiza majukumu yake. Uwepo wake ndani ya Yanga utaongeza idadi ya…

Read More

ERLING HAALAND, NICO WILLIAMS KUTUA BARCELONA

TETESI za usajili zinasema Barcelona inatarajia kuongeza wachezaji wawili maarufu katika madirisha mawili yajayo ya uhamisho ya kiangazi, Nico Williams mwaka huu na kisha Erling Haaland mwaka 2025. Barcelona imeonyesha nia ya kuwasajili Erling Haaland na Nico Williams, lakini kuna changamoto kubwa za kifedha na kiutaratibu zinazohusika. Kwa Erling Haaland, hatua hii inategemea klabu hiyo…

Read More

MBAYA WA SIMBA ATUA YANGA

MABOSI wa Yanga wamekamilisha dili la kuinasa saini ya mshambuliaji mwenye kupenda kufunga akiwa ndani ya uwanja jambo ambalo linaongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaji ya mabingwa wa ligi Yanga msimu wa 2023/24. Nyota huyo alikuwa akiwapa tabu makipa wengi Bongo ikiwa ni pamoja na wale wa Simba ikiwa ni pamoja na Aishi Manula, Ayoub…

Read More

KOCHA WA MAKIPA AIPA MKONO WA KWAHERI SIMBA

Aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, Daniel Cadena ameipa mkono wa kwaheri klabu hiyo huku akieleza kuwa ulikuwa ni wakati mzuri kuhudumu ndani ya viunga vya Wekundu hao wa Msimbazi. “Siku kama ya leo Julai 6, 2023, nilifika nyumbani kwa SIMBA SC na kupokelewa kwa furaha. Leo, Julai 6, 2024, kwa sababu za kitaaluma, ninaondoka…

Read More

Namba 7 ya Maajabu, Cheza Kasino Ushinde

Unataka kuwa Milionea na hujui pa kuanzia? Nisikilize mimi leo nakuletea mchezo wa kasino unaosifika kwa tabia yake ya kutoa mikwanja kwa majokeri. Kabla ya yote embu jisajili hapa kisha twende kazi mtu wangu wa nguvu.   Sloti ya 777 Super Strike inapatikana kwenye Kasino Mtandaoni ya Meridianbet ikiwa na safu tano zilizowekwa katika mistari…

Read More

SIMBA YATHIBITISHA KUKAMILISHA UHAMISHO WA KIUNGO DEBORA

Klabu ya Simba Sc imethibitisha kukamilisha uhamisho wa kiungo Debora Fernandes Mavambo (24) kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Mutondo Stars ya Zambia. Debora ambaye ana uraia pacha wa Congo Brazaville lakini anachezea timu ya taifa ya Gabon anamudu pia kucheza kama kiungo mkabaji ingawa anapendelea zaidi kucheza kama kiungo wa kati (namba 8).

Read More

MWAMBA HUYU ATAMBULISHWA SIMBA

KIUNGO mkabaji Augustine Okejapha ametambulishwa ndani ya kikosi cha Simba kwa ajili ya kupata changamoto mpya kwa msimu ujao unaotarajiwa kuanza Agosti. Nyota huyo ni raia wa Nigeria anatarajiwa kuwa kwenye changamoto mpya kwa msimu wa 2024/25 ndani ya Simba. Julai 5 2024 Simba ilimtambulisha kocha mpya ambaye ni Fadlu Davis ambaye atafanya kazi na…

Read More

KIUNGO WA KAZI NGUMU KUSEPA SIMBA, KOCHA MPYA KAZI IPO

INAELEZWA kuwa kiungo wa kazi ngumu ndani ya Simba Sadio Kanoute huenda akasepa ndani ya kikosi hicho kuelekea msimu wa 2024/25. Kanoute ni mtaalamu kwenye kutembeza mikato ya kimyakimya licha ya sura yake ya upole anatimiza majukumu yake kwa umakini mwanzo mwisho. Inaelezwa kuwa Kanoute raia wa Mali anahitaji kupata changamoto mpya na anahitaji maboresho…

Read More