
YANGA WASIMIKA MNARA MWINGINE HUKU
MABINGWA watetezi wa Kombe la Azam Sports Federation Yanga wamewafungashia virago katika raundi ya pili Hausing FC ya kutoka Njombe katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Dakika 45 za mwanzo mchezo ulikuwa ni wa upande mmoja kwa Yanga kumiliki zaidi na kufunga mabao 4-0 Hausing ambao angalau waliongeza ushindani kipindi cha pili walipofungwa bao…