
YANGA YAIVUTIA KASI AZAM FC
KIKOSI cha Yanga kipo kwenye maandalizi ya mchezo wao wa ligi ujao dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Septemba 6,2022 Uwanja wa Mkapa. Timu hiyo inanolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ambaye ameongoza kwenye mechi mbili za ligi bila kuonja ladha ya kupoteza. Ilikuwa mchezo wake dhidi ya Polisi Tanzania iliposhinda mabao 2-1 na mchezo…