Simba SC vs Mtibwa Sugar NBC Premier League
Simba vs Mtibwa Sugar ni mchezo wa NBC Premier League unaotarajiwa kuchezwa Jumapili, Januari 18,2026. Uwanja wa Mej.Gen. Isamuhyo. Hii ni baada ya ligi kusimama kwa muda kutokana na mashindano ya AFCON ambayo yanaendelea nchini Morocco na Tanzania iliishia hatua ya 16 bora. Fainali inatarajiwa kuchezwa Jumapili, Januari 18,2026 itakuwa ni Senegal vs Morocco ambao…