
NADO NI MKALI AKITOKEA BENCHI
NYOTA wa Azam FC, Idd Suleiman, ‘Nado’ ni mkali wa kucheka na nyavu kwenye mechi za ligi akitokea benchi. Nyota huyo rekodi zinaonyesha kuwa ameanza kikosi cha kwanza mechi nne ilikuwa dhidi ya Ruvu Shooting,Dodoma Jiji,Mbeya City na KMC. Kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union,Novemba 27,2022 ubao wa Azam Complex uliposoma Azam FC 3-2 Coastal…