
HAPA NDIPO YANGA WALIPOVURUGWA
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kilichowavuruga dhidi ya Simba ni bao la mapema ambalo chanzo chake hakikuwa cha uhakika. Kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Aprili 16, ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 2-0 Yanga huku bao la kwanza likifungwa na Henock Inonga. Inonga alipachika bao hilo dakika ya kwanza akitumia…