
NGOMA ITAKUWA NZITO LEO UWANJA WA MKWAKWANI
CHAPCHAP ni sawa kwenye kufunga msimu wa 2022/23 lakini kazi itakuwa kubwa kwa wababe wawili, Uwanja wa Mkwakwani kusaka taji la Kombe la Azam Sports Federation. Yanga wakiwa wametoka kwenye kilele cha furaha baada ya kutwaa taji la ligi wanakutana na Azam FC ambao hawajavuna taji msimu huu. Hapa tunakuletea mtifuano utakavyokuwa:- Wakali wakitokea benchi…