
YANGA WAANDIKA REKODI WAKITINGA NUSU FAINALI
MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wameandika rekodi yao kuwa timu iliyopata ushindi mkubwa ndani ya dakika 90 katika msako wa hatua ya kutinga nusu fainali. Yanga Aprili 15 2025 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa KMC Complex ulisoma Yanga 8-1 Stand United, inatinga hatua ya…