ABRAMOVICH ATHIBITISHA KUIWEKA SOKONI CHELSEA
ROMAN Abramovich usiku wa Jumatano kwa hisia amethibitisha kwamba yupo kwenye mpango wa kuiuza timu hiyo. Abramovich ameamua kuuvunja ukimya baada ya taarifa kuwa nyingi zikieeleza kwamba tayari timu hiyo ipo sokoni. MailOnline mapema Jumatano iliripoti kwamba Chelsea imewekwa sokoni na kiasi ambacho kilikuwa kinahitajika ni Euro bilioni 3. Abramovich usiku uliopita amesema:”Nimeamua kuchukua maamuzi…