YANGA YASHINDA 3-0 KAGERA SUGAR

KIKOSI cha Yanga kimesepa na pointi tatu mbele ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Ni mabao matatu ambayo yamefungwa kwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Fiston Mayele ametupia mabao mawili na pasi moja ya bao, amefunga dk 30 na 50 pasi kampa mshikaji wake Said Ntibanzokiza…

Read More

MASTAA HAWA 6 WA YANGA KUIKOSA KAGERA SUGAR

DICKOSN Ambundo,beki wa Yanga ni miongoni mwa nyota ambao wataukosa mchezo wa leo Februari 27 dhidi ya Kagera Sugar. Job ambaye ni beki wa kati anaukosa mchezo wa leo kutokana na kuwa kwenye mwendelezo wa kutumikia adhabu ya kifungo cha mechi tatu ambacho alipata kutokana na kucheza mchezo usio wa kiungwana mbele ya Richardson Ng’odya…

Read More

UWANJA WA MKAPA YANGA V KAGERA SUGAR VITA YA KISASI

LEO Uwanja wa Mkapa itakuwa ni vita ya kisasi kwa Kagera Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu Francis Baraza v Yanga inayonilewa na Nasreddine Nabi katika mchezo wa mzunguko wa pili. Yanga ni vinara katika mchezo wa kwanza walishinda bao 1-0 Uwanja wa Kaitaba na mtupiaji alikuwa ni Feisal Salum ambaye leo ataukosa mchezo kutokana na…

Read More

MAYELE MWENDO WA MOJAMOJA BONGO

FISTON Mayele mzee wa kutetema dozi yake anayotoa kwa kuwatungua wapinzani wake ni mwendo wa mojamoja kwa kuwa hakuna timu ambayo ameifunga mabao Zaidi ya mawili. Akiwa ametupia mabao 7 ni KMC walianza kutunguliwa na langoni alikuwa amekaa Faroukh Shikalo kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Majimaji,Songea. Azam FC ilikuwa timu ya pili kufungwa kisha ikafuata…

Read More

YANGA YATUMA UJUMBE HUU KAGERA SUGAR

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba unahitaji pointi tatu kwenye mchezo wa leo dhidi ya Kagera Sugar unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Hassan Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kwamba wanahitaji kupata pointi tatu mbele ya Kagera Sugar kwa kuwa mchezo ni mgumu na wanaamini watapata ushindi. “Mchezo wetu dhidi ya Kagera Sugar utakuwa…

Read More

KMC WALIPA KISASI MBELE YA POLISI TANZANIA

KMC leo imelipa kisasi mbele ya Polisi Tanzania kwa kuwatungua mabao 3-0 na kusepa na pointi tatu mazima. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza walipokutana Uwanja wa Karatu, ubao ulisoma Polisi Tanzania 2-0 KMC na kuwafanya waweze kusepa na pointi tatu mazima. Katika mchezo wa leo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, ubao umesoma KMC 2-0…

Read More

BAO LA MKONO LAMPONZA FEISAL,LIMEMKUTA HILI YANGA

FEISAL Salum, kiungo mwenye uwezo wa kutumia miguu yote miwili kufunga pamoja na mikono amekutana na jambo litakalomfanya kesho aukose mchezo wa ligi dhidi ya Kagera Sugar. Nyota huyo anakumbukwa kwamba alikuwa ni nyota wa kwanza ndani ya Yanga kwa msimu wa 2021/22 kufunga bao la mkono mbele ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Manungu na…

Read More

MAYELE AMKOSESHA RAHA BEKI LIGI KUU BARA

BEKI wa kati wa Simba anayekipiga kwa mkopo Mtibwa Sugar, Ibrahim Ame, amesema mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, Fiston Mayele ameshindikana huku akisisitiza amemkosesha usingizi. Kauli ya beki huyo imekuja baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kumalizika kwa Yanga kuwafunga Mtibwa mabao 2-0 juzi Jumatano kwenye Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro. Ame alisajiliwa na…

Read More

KMC YAZITAKA POINTI TATU ZA POLISI TANZANIA

AHMAD Ally, Kocha Msaidizi wa KMC amesema kuwa wanazitaka pointi tatu mbele ya Polisi Tanzania. Ikiwa na pointi 19 baada ya kucheza mechi 15 ipo nafasi ya 8 leo inakutana na Polisi Tanzania, Uwanja wa Azam Complex. Akizungumza na Saleh Jembe, Ally amesema kuwa mbinu zote zitajulikana leo watakapokuwa uwanjani. “Hatuwezi kuweka wazi mbinu tutakazotumia…

Read More

POLISI TANZANIA KUKIWASHA LEO AZAM COMPLEX V KMC

MZUNGUKO  wa pili mdogomdogo kwa sasa unaanza leo Uwanja wa Azam Complex unatarajiwa kuchezwa mchezo kati ya KMC v Polisi Tanzania ambapo makocha wa timu zote mbili wameweka wazi kwamba wanahitaji pointi tatu. Polisi Tanzania wameweka wazi kwamba wapo tayari kwa mchezo wa leo na wanahitaji pointi tatu muhimu. George Mketo, Kocha Msaidizi wa Polisi…

Read More