VIDEO:MWAKINYO ATOA NENO KUHUSU BONDIA ALIYEZICHAPA NA TONY
BONDIA Hassan Mwakinyo amesema kuwa bondia Bongani Mahlangu ambaye alizichapa na Tony Rashid kwenye usiku wa vitasa ni moja ya mabondia wazuri.
BONDIA Hassan Mwakinyo amesema kuwa bondia Bongani Mahlangu ambaye alizichapa na Tony Rashid kwenye usiku wa vitasa ni moja ya mabondia wazuri.
FEISAL Salum, kiungo mwenye uwezo wa kutumia miguu yote miwili kufunga pamoja na mikono amekutana na jambo litakalomfanya kesho aukose mchezo wa ligi dhidi ya Kagera Sugar. Nyota huyo anakumbukwa kwamba alikuwa ni nyota wa kwanza ndani ya Yanga kwa msimu wa 2021/22 kufunga bao la mkono mbele ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Manungu na…
BEKI wa kati wa Simba anayekipiga kwa mkopo Mtibwa Sugar, Ibrahim Ame, amesema mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, Fiston Mayele ameshindikana huku akisisitiza amemkosesha usingizi. Kauli ya beki huyo imekuja baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kumalizika kwa Yanga kuwafunga Mtibwa mabao 2-0 juzi Jumatano kwenye Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro. Ame alisajiliwa na…
AHMAD Ally, Kocha Msaidizi wa KMC amesema kuwa wanazitaka pointi tatu mbele ya Polisi Tanzania. Ikiwa na pointi 19 baada ya kucheza mechi 15 ipo nafasi ya 8 leo inakutana na Polisi Tanzania, Uwanja wa Azam Complex. Akizungumza na Saleh Jembe, Ally amesema kuwa mbinu zote zitajulikana leo watakapokuwa uwanjani. “Hatuwezi kuweka wazi mbinu tutakazotumia…
MZUNGUKO wa pili mdogomdogo kwa sasa unaanza leo Uwanja wa Azam Complex unatarajiwa kuchezwa mchezo kati ya KMC v Polisi Tanzania ambapo makocha wa timu zote mbili wameweka wazi kwamba wanahitaji pointi tatu. Polisi Tanzania wameweka wazi kwamba wapo tayari kwa mchezo wa leo na wanahitaji pointi tatu muhimu. George Mketo, Kocha Msaidizi wa Polisi…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
BONGANI bondia aliyempiga Tonny Rashid ameweka wazi kwamba alimpa mtihani mpinzani wake hivyo amerudi tena kusahihisha mtihani ambao alimuachia kijana huyo.
BARBARA Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari wa ajili ya mchezo wao dhidi ya RS Berkane ya Morocco unaoatarajiwa kuchezwa Jumapili na wanaamini kwamba watashinda. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco, Februari 27 inakibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya RS Berkane kwenye mchezo wa hatua ya makundi wakiwa katika kundi…
HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kwamba ushindi ambao wameupata mbele ya Mtibwa Sugar ni muhimu kwao na wameweza kupata ushindi huo mbele ya Uwanja wa Manungu ambao unatajwa kuwa ni machinjio ya Mtibwa. Yanga ilifunga mzunguko wa kwanza kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar na mabao yalifungwa na Said…
AISHI Manula, ‘Air Manula’ kipa wa Simba ni namba moja kwa makipa waliokaa langoni kwenye mechi zote 15 za mzunguko wa kwanza na kusepa na clean sheet, (cheza bila kufungwa) nyingi. Manula amekaa langoni kwenye mechi zote 15 ambazo Simba imecheza na amefungwa mabao 6 katika mechi hizo ambazo amekaa langoni. Katika mechi hizo ni…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
BAADA ya kukamilisha mzunguko wa kwanza wakiwa ni vinara na pointi zao 39 sasa wamebakiwa na mechi 6 ugenini na nne wanatarajiwa kuzicheza nje ya Dar. Katika mechi 15 mzunguko wa kwanza Yanga ilicheza mechi 9 ugenini na nyumbani ilicheza mechi 6, ilishinda mechi 12, sare 3 huku ikitupia jumla ya mabao 25. Mzunguko wa…
Majogoo watawika mbele ya Chelsea? Wikiendi ya kibabe inakuletea soka bomba kutoka ligi mbali mbali ulimwenguni. Mida ya ya kuchakata majamvi ya ushindi inaanza mapema kabisa, na Meridianbet wao wamekuhakikishia Odds kubwa mapema kabisa na machaguo lukuki. Wikiendi hii Chelsea anavaana uso kwa uso na majogoo wa Uingereza Liverpool kwenye fainali ya Carabao Cup. Pande…
MMOJA wa mashabiki wa Yanga, mwenye asili ya Kimasai anayefahamika kwa jina la Mauya mkazi wa Dakawa, amemzawadia ng’ombe mzima mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele. Mayele ni mtupiaji namba moja ndani ya Yanga akiwa na mabao 7 na kinara ni Relliats Lusajo ambaye ametupia kibindoni mabao 10. Ushindi wa mabao 2-0 waliopata jana mbele ya…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
UWANJA wa Manungu Complex mchezo umekamilika na ubao umesoma Mtibwa Sugar 0-2 Yanga. Ni dakika ya 45+5 bao hilo lilipachikwa na kuwafanya Mtibwa Sugar wasiwe na chaguo la kufanya. Mtupiaji wa bao la kuongoza ni Said Ntibanzonkiza ambaye ametumia pasi ya Feisal Salum. Hakuna timu iliyoonyeshwa kadi ya nyekundu huku timu zote mbili zikicheza kwa…
LEO Uwanja wa Manungu, Mtibwa Sugar ina kazi ya kusaka pointi 3 mbele ya Yanga ambao nao pia wanahitaji hizo pointi. Hiki hapa kikosi cha Yanga:- Diarra Djuma Farid Bangala Mwamnyeto Aucho Sure Boy Nkane Said Feisal Mayele Akiba Mshery Boxer Yassin Bacca Kaseke Ambundo Balama Mauya Makambo