FEI TOTO APELEKWA ULAYA
KITASA wa zamani wa Yanga ambaye sasa anakipiga ndani ya Polisi Tanzania, Said Juma Makapu, amesema anaamini kwa kiwango alichonacho kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, ni muda wake sasa kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi. Kwa kusema hivyo kitasa huyo ni kama amempeleka Ulaya kiungo huyo ambaye kwa sasa yupo kwenye ubora wake ndani ya Ligi…