USIKU KABISA KAGERE AFUNGA BAO LA USHINDI KWA SIMBA
MEDDIE Kagere amepachika bao la ushindi mbele ya Namungo FC dakika 90+4 kwa pasi ya Mohamed Hussein. Bao hilo lilikuwa ni la jasho kubwa kwa kuwa Namungo walikuwa wakipambana kusaka bao kama ambavyo ilikuwa kwa Simba ambao nao walikuwa wakifanya hivyo ila mikono ya kipa Jonathan Nahimana ilikuwa kwenye ubora katika kuoka hatari. Ni…