
RUVU SHOOTING YATUMA UJUMBE HUU KWA YANGA
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa wakimalizana na Namungo leo kituo kinachofuata ni dhidi ya Yanga. Ruvu Shooting wameomba mchezo wao dhidi ya Yanga uchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika,Kigoma na unatarajiwa kuchezwa Mei 4,2022. Masau Bwire amesema kuwa kila mchezo kwao ni muhimu na wanaimani ya kupata pointi tatu kutokana na uimara…