KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KMC

HIKI hapa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kinachotarajiwa kuanza dhidi ya KMC, mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora:- Aishi Manula Kapombe Shomari Hussein Mohamed Onyango Joash Henock Inonga Mkude Jonas Sakho Mzamiru Kagere Meddie Kibu Dennis Bwalya   Akiba Beno Gadiel Wawa Abdulsamad Dilunga Ajibu Mugalu…

Read More

KIKOSI CHA KMC KITAKACHOANZA DHIDI YA SIMBA

LEO Desemba 24, KMC inawakaribisha Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora. Hiki hapa kikosi cha KMC 1. Faroukh Shikalo 2.Kelvin Kijili 3.Nickson Kibabage 4.Andrew Chikupe 5.Abdulazack Mohamed 6.Ismail Gambo 7.Ken Mwambungu 8.Iddi Kipagwile 9.Matheo Anthon 10.Emmanuel Mvuyekule 11.Abdul Hassan   Akiba Juma Kaseja Ally Ramadhan Hassan…

Read More

YONDANI,NCHIMBI NA YONDANI NI WANAGEITA GOLD

KLABU ya Geita kwa sasa haitaki utani baada ya kukamilisha usajili wa wachezaji wakongwe na wenye uzoefu kwenye fani. Miongoni mwa wachezaji ambao watakuwa na uzi wa timu hiyo ni pamoja na nyota wa zamani wa Yanga na Polisi Tanzania, Kelvin Yondani, ambaye amesaini dili la mwaka mmoja Geita Gold, mkataba utakaomfanya kuziba safu ya ulinzi sambamba na Juma Nyosso ambaye tayari ameingia kwenye klabu…

Read More

RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO DESEMBA 24

BAADA ya mchezo wao uliopita dhidi ya Kagera Sugar kuahirishwa kutokana na asilimia kubwa ya wachezaji wa Simba kuumwa mafua na homa leo wanatarajiwa kuwa kazini. Desemba 24, Simba inatarajiwa kukaribishwa na Wanakino Boys, Uwanja wa Al Hassan Mwinyi, Tabora. Itakuwa ni KMC v Simba leo. Pia Coastal Union iliyotoka kushinda bao 1-0 dhidi ya…

Read More

NYOTA HAWA WATATU KUONDOKA AZAM FC

JUMLA ya wachezaji nyota  watatu wanatarajiwa kuondoka katika kikosi cha Azam FC kwenda katika timu ya taifa ya Zimbabwe kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON). Wachezaji hao ni beki wa kushoto, Bruce Kangwa, kiungo Never Tigere na mshambuliaji Prince Dube.Nyota hao huenda wakakosekana katika michezo baadhi ya Ligi Kuu Bara na Kombe la…

Read More

BOSI YANGA AFUNGUKA WALIVYOMNASA SURE BOY

RASMI Azam FC imekubali kumuachia kiungo wake, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ na sasa yupo huru kujiunga na Yanga katika usajili huu wa dirisha dogo. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu kiungo huyo awasilishe ombi la kuvunja mkataba huo mara baada ya kusimamishwa na viongozi wa Azam. Sure Boy alisimamishwa pamoja na wachezaji wenzake wawili, Mudathiri…

Read More

CHAMA MIKONONI MWA BARBARA SIMBA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa, ishu nzima ya usajili wa majembe mapya kwenye kikosi cha timu hiyoakiwemo kiungo Mzambia, Clatous Chama kwa sasa inashughulikiwa na Ofisa Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez.Chama aliuzwa na Simba miezi minne iliyopita na kujiunga na RS Berkane ya Morocco akisaini mkataba wamiaka mitatu unaotarajiwa kukamilika 2024. Akizungumza na Spoti Xtra,…

Read More

YANGA YAMALIZANA NA MASHINE TANO ZA MOTO

YANGA rasmi imemalizana na mashine tano ambazo muda wowote zitatambulishwa mara baada ya kufikia muafaka mzuri katika usajili wa dirisha dogo. Dirisha hilo lilifunguliwa mapema Desemba 16, mwaka huu na Yanga imepanga kufanya usajili mkubwa katika kukiimarisha kikosi chao. Wakati wakipanga kusajili wachezaji hao watano, pia wamepanga kuwaacha baadhi ya wachezaji wake Ditram Nchimbi, Paul…

Read More

TANZIA:MAMA HASSAN MWAKINYO ATANGULIA MBELE ZA HAKI

TANZIA:-Mama mzazi wa bondia, Hassan Mwakinyo anayejulikana kwa jina la Fatuma Hassan Siri amefariki Dunia Desemba 22. Alikuwa anasumbulia na tatizo la uvimbe tumboni na alilazwa katika Hospitali ya Muhimbili kwa muda wa siku sita. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mwakinyo aliandika ujumbe huu:”Ama kuna siku nimekosa raha ya kila kitu ulimwenguni ni kukukosa wewe…

Read More

AZAM FC MZIGONI LEO,RATIBA IPO HIVI

LEO Desemba 22 Ligi Kuu Bara inaendela huku mabosi wa Dar baada ya kutoka kulazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Mbeya City pale Azam Complex wana kibarua kingine tena. Azam FC itakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Ruvu Shooting hawa waze wa mpapaso,pira gwaride pira pasi, Uwanja wa Azam Complex….

Read More

YANGA:TUNAKAMIWA KWENYE MECHI ZETU

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi amesema licha ya kuibuka na ushindi 2-1 dhidi ya Tanzania Prisons, kikosi chake kinakutana na wakati mgumu kwani kila timu wanayokutana nayo inacheza kama fainali dhidi yao. Yanga imefikisha pointi 23 na kuendelea kuwa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikifuatiwa na Simba yenye pointi 18 na mchezo…

Read More