
COASTAL UNION:AZAM FC WANA GARI ZURI,TIMU ZURI
WAKATI leo Mei 29 Coastal Union ikitarajiwa kutupa kete yake mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali, Kombe la Shirikisho, Kocha Mkuu Juma Mgunda amesema kuwa Azam FC wana timu nzuri. Mgunda ambaye ni Kocha Mkuu wa Coastal Union ameweka wazi kwamba anawaheshimu wapinzani wake na anaamini wataleta ushindani mkubwa lakini…