
WACHEZAJI STARS KAZI IPO KUIKABILI UGANDA
MAJINA ya wachezaji wa timu ya Taifa ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya kujiandaa na mchezo wa kufuzu Kombe la Mataifa Afrika, (CHAN) dhidi ya Uganda yameshawekwa wazi. Nyota 25 ambao wameitwa kazi yao kubwa ni kuweza kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa ili waweze kupata matokeo chanya katika mchezo huo. Imani kubwa ni kuona…