EPL YARUDI NDANI YA DStv WIKIENDI HII

DStv wanaenedelea kuwa mstari wa mbele kuwaletea wapenzi wa soka mechi hizi na tiketi yako ni dikoda tu! Kwa ofa yao kabambe ya TSH 69,000 tu unaweza kupata DStv dikoda yako safi, pamoja na kifurushi bure cha Shangwe! Baada ya kipindi cha maombolezo barani Uingereza, ligi kuu ya soka PREMIER LEAGUE inarudi wikiendi hii, na…

Read More

SIMBA YAOMBA SAPOTI YA MASHABIKI

MOHAMED Hussein,nahodha msaidizi wa Simba amesema kuwa mashabiki wa timu hiyo wanapaswa kuendelea kuwa pamoja nao kwenye mechi zote wanazocheza ili kuwapa nguvu ya kupambana. Simba inapambana kusaka taji la ligi ambalo lipo mikononi mwa Yanga ililotwaa kwa msimu wa 2021/22 bila kupoteza kwenye mechi 30 na ilikusanya pointi 74. Imerejea Dar kutoka Mbeya ilipokuwa…

Read More

LUSAJO MTU KAZI NDANI YA LIGI KUU BARA

MZAWA Reliats Lusajo ni mtu wa kazikazi kwenye kikosi cha timu hiyo katika mechi za Ligi Kuu Bara ujue umeona pointi kutokana na nyota yake kuwa kali kwenye miguu yake. Lusajo ni namba moja kwa kutupia akiwa na mabao manne ambayo amefunga kwenye mechi tatu mfululizo alizocheza ndani ya kikosi cha Namungo. Mchezo wa kwanza…

Read More

MASTAA SIMBA WAPEWA ANGALIZO KIMATAIFA

CLATOUS Chama, kiungo wa Simba pamoja na wachezaji wengine ikiwa ni nahodha John Bocco, Moses Phiri na Aishi Manula wamepewa angalizo kuelekea mchezo wao dhidi ya Nyasa Big Bullets wa marudio. Simba inatarajiwa kumenyana na Big Bullets Jumapili ikiwa inakumbuka imetoka kushinda mabao 2-0 ugenini na mabao yakifungwa na Phiri pamoja na Bocco. Meneja wa…

Read More

WINGA WA SPIDI KISINDA KUKIWASHA YANGA

NYOTA Tuisila Kisinda anarejea rasmi kuongeza kasi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi, hivyo anatarajiwa kukiwasha ndani ya ligi na kimataifa. Usajili wakeakitokea RS Berkane ulileta mvutano mkubwa ila rasmi Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Mpira Tanzania, (TFF) imepitisha usajili wake. Usajili wa winga huyo…

Read More

KOCHA SINGIDA BIG STARS AWAPA MBINU WACHEZAJI

MATHIAS Lule, Kocha Msaidizi wa Singida Big Stars amesema kuwa wachezaji wote ambao wapo ndani ya kikosi hicho watapata nafasi ya kucheza. Singida Big Stars kwa sasa inaendelea na mazoezi kwa ajili ya mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold unaotarajiwa kuchezwa Septemba 21. Miongoni mwa mastaa ambao wapo ndani ya…

Read More

STARS WAPENI TABASAMU WATANZANIA

 HAIKUWA bahati kwa wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kupata ushindi kwenye mechi za kuwania kufuzu CHAN baada ya kupoteza kwenye mchezo dhidi ya Uganda kwenye mchezo wa nyumbani na ugenini. Kwa sasa wachezaji 23 wameitwa kikosi cha timu ya Taifa kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Libya…

Read More

KUMBE! MAKAMBO ALIMUAMBIA AZIZ KI ATAFUNGA

SABABU kubwa ya Aziz KI kumfuata Heritier Makambo baada ya kufunga bao mbele ya Mtibwa Sugar ni ahadi ambayo alipewa. Mtu wa karibu wa wachezaji hao amesema kuwa Makambo alimuamuambia Aziz KI kuwa atafanya jambo lolote kwenye mchezo huo kufunga ama kutoa pasi. “Makambo alipokuwa benchi alimuambia Aziz KI nenda uwanjani una bao lako hapo…

Read More

MKUDE:HAIKUWA RAHISI KUSHINDA

JONAS Mkude, kiungo wa Simba amesema uwa haikuwa kazi rahisi kushinda mbele ya Tanzania Prisons kutokana na ugumu wa timu hiyo. Mkude alipachika bao la ushindi kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Sokoine, dakika ya 85 kwa pasi ya Kibu Dennis. “Kucheza na Tanzania Prisons kunahitaji kujipanga na timu ambayo itapata nafasi inaweza kushinda hivyo tulifanya…

Read More

JONAS MKUDE AMETUPIA MBELE YA PRISONS

JONAS Mkude, kiungo wa kazi ndani ya Simba amepachika bao pekee la ushindi mbele ya Tanzania Prisons dakika ya 85 na kuipa pointi tatu muhimu. Ulikuwa ni mchezo huru kwa timu zote mbili ndani ya dakika 90 kwa kila timu kutengeneza mashambulizi ya kushtukiza katika kusaka ushindi. Dakika 45 zilikuwa ngumu kwa timu zote mbili…

Read More

MAYELE MTAMBO WA MABAO YANGA

NDANI ya Yanga ni Fiston Mayele anaongoza kwa kutupia mabao akiwa nayo matatu, aliwatungua Polisi Tanzania, Coastal Union na Mtibwa Sugar. Msimu uliopita Mayele alitupia mabao 16 na pasi nne za mabao kinara alikuwa ni George Mpole wa Geita Gold alitupia mabao 17. Nasreddine Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kila mchezaji anahitaji kufanya…

Read More