
VIDEO:NABI:HATUKUWA NA MUDA WA KUJIANDAA/TULIOMBA MECHI IPELEKWE MBELE
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema waliomba kupewa muda wa kufanya maandalizi kwa ajili ya kuwakabili wapinzani wao Club Africain lakini hawakujibiwa hivyo kwa sasa wanajaandaa kwa muda ambao upo na mechi zikiwa zimepangana