
MATAIFA YALIYOIPELEKA YANGA KIMATAIFA
MATAIFA matatu yalifanya kazi kubwa kuipaisha Yanga kimataifa na kuipeleka kwenye hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Ni kupitia bao pekee la ushindi la Aziz Ki raia wa Burkina Faso ambaye alifunga bao hilo dakika ya 79 akitumia pasi ya Fiston Mayele raia wa DR Congo. Ikumbukwe kuwa kabla ya bao kupatikana lilipita kwenye…