
YANGA:POLISI TANZANIA WANAKUJA MACHINJIONI
ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wapinzani wao Polisi Tanzania wanawafuata machinjioni Uwanja wa Mkapa jijini Dar hivyo wajiandae ‘kufa’. Yanga kwenye msimamo ipo nafasi ya kwanza ikiwa imekusanya pointi 38 baada ya kucheza mechi 15 mchezo wake uliopita Uwanja wa Mkapa ulikuwa ni wa Kombe la Shirikisho na iliibuka na ushindi wa…