TRY AGAIN USO KWA USO NA RAIS FIFA

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino akiwa na Mwenyekiti wa Bodi, Salim Muhene baada ya kushiriki moja ya vipindi vinavyoendelea kwenye kozi ya Diploma katika Uongozi wa Klabu inayotolewa na FIFA (Diploma in Club Management). Kozi hiyo inafanyika mjini Tangier, Morocco. Try Again ni mmoja wa wajumbe watatu kutoka Afrika…

Read More

Expanse Studios na Meridianbet Kuja na Sloti Mpya

Expanse Studios, mtengeneza programu anayekua kwa kasi zaidi katika michezo ya kasino mtandaoni ambayo mingi unaipata Meridianbet Kasino ya Mtandaoni, anafuraha kutangaza ushiriki wake ujao katika ICE London 2023. Expo inayoongoza duniani kwa michezo ya kubahatisha. Tukio la kihistoria, litafanyika kwanzia 7-9 Februari 2023 huko ExCeL London, eneo maalum la kuendesha mapato kupitia ufumbuzi wa…

Read More

AZAM FC,YANGA, SIMBA KUPAMBANA NA HAWA FA

KAMATI ya Mashindano ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) ilitangaza ratiba ya hatua ya 16 bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) maarufu kama FA. Simba ina kazi ya kusaka ushindi dhidi ya African Sports ya Tanga, Machi 2, Uwanja wa Mkapa, Yanga dhidi ya Tanzania Prisons Machi 3 Uwanja wa Mkapa. Geita…

Read More

AKILI KUBWA MZUNGUKO WA PILI MATUMIZI YA NGUVU NI MAUMIVU

MZUNGUKO wa pili huwa unakuwa na mambo mengi jambo ambalo huwafanya wachezaji wengi kutumia nguvu kubwa kusaka ushindi. Ukweli ni kwamba mechi za wakati huu ni lala salama kwa kuwa kitakachofuata ni maamuzi ya nini kitatokea kwa kile ambacho kimepandwa. Benchi la ufundi, uongozi pamoja na mashabiki muda wa kujipanga kwa makosa ya mzunguko uliopita ni sasa na itasaidia kuwa kwenye ushindani mzuri. Mashabiki na…

Read More