
YANGA:KIMATAIFA TUTAPAMBANA KUPATA MATOKEO MBELE YA MAZEMBE
BEKI wa kati wa Yanga, Yannick Bangala amesema wanafahamu mchezo wao dhidi ya TP Mazembe utakuwa na upinzani mkubwa lakini watahakikisha kuwa wanapambana ili waweze kupata matokeo ya ushindi wakiwa nyumbani. Bangala amewahi kukipiga AS Vita anawafahamu vyema TP Mazembe jambo ambalo ni faida kubwa kwa Yanga kuelekea katika mchezo huo. Yanga Jumapili February 20…