HUU HAPA UZI MPYA WA YANGA KIMATAIFA

JANUARI 30,2023 Yanga imezindua uzi wao mpya kwa ajili ya mechi za kimataifa ikiwa imetinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi Februari 12 ina kibarua kwenye mchezo wa kimataifa. Kabla ya kusepa Bongo bado itakuwa na kazi ya kucheza mchezo mmoja wa ligi itakuwa dhidi…

Read More

UCHAGUZI UMEGOTA MWISHO, MAKUNDI YASIWEPO

Murtaza Mangungu ameshinda uchaguzi nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu kwa kupata kura 1,311. Tayari kwa sasa uongozi mpya umepatikana na kampeni muda wake umekwisha. Yale yote ambayo ymaetokea kwenye masuala ya uchaguzi pamoja na kampeni ni muhimu kuyafanyia kazi ili kuwa imara wakati ujao. Kwa walioshinda hongereni na tunatambua kwamba mmetoa ahadi kwa wachama na…

Read More

YANGA YAICHAPA RHINO KIFURUSHI CHA WIKI

YANGA imetinga hatua ya 16 bora Kombe la Shirikisho kwa ushindi wa mabao 70-0 dhidi ya Rhino FC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Vijana wa Rhino Rangers wameshuhudia mabao hayo dakika ya 7 kupitia kwa Dickson Ambundo, Kennedy Musonda dakika ya 15, Aziz KI dakika ya 19, Yannick Bangala dakika ya 26 n kiungo…

Read More

YANGA 5-0 RHINO RANGERS

UWANJA wa Mkapa dakika 45 za mwanzo ubao unasoma Yanga 5-0 Rhino Rangers. Ni mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora ambapo mshindi atatinga hatua ya 16 bora na Yanga ni mabingwa watetezi. Vijana wa Rhino Rangers wameshuhudia mabao hayo dakika ya 7 kupitia kwaDickson Ambundo, Kennedy Musonda dakika ya 15, Aziz KI…

Read More

HAWA HAPA WANAWANIA NAFASI SIMBA, LEO NI LEO

LEO Jumapili Klabu ya Sima inatarajiwa kufanya mkutano mkuu wenye ajenda 13 ikiwemo suala la uchaguzimkuu wa kuchagua mwenyekiti na wajumbe watano wa Bodi ya Wakurugenzi. Katika uchaguzi huo wanaowania nafasi ya mwenyekiti ni Murtanza Mangungu anayetetea kiti chake na Moses Kaluwa. Wajumbe ni Seif Ramadhan Muba, Seleman Harub Said,Iddi Halifa Kitete,Issa Masoud Iddi,Abubabakar Zebo,Abdallah…

Read More

KUMUONA MAYELE, FARID MUSSA NI BUKU TANO

MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho Yanga chini ya Kocha Mkuu Nasreddine Nabi leo Januari 29,2023 wana kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo wa raundi ya tatu. Yanga inatarajiwa kumenyana na Rhino Rangers FC ambao nao wameweka wazi kuwa wanahitaji ushindi ili kutinga raundi ya 16 bora. Tayari wapinzani wao wakubwa ambao ni Simba, Singida…

Read More