
SIMBA YAIFUATA MTIBWA SUGAR
KIKOSI cha Simba leo Machi 9 2023 kimeibukia Morogoro kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar. Chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira mapema leo kilifanya mazoezi kabla ya kuanza msafara wa kuelekea Moro mji kasoro bahari. Huu ni mchezo wa mzunguko wa pili ambao unatarajiwa kuchezwa Jumamosi saa 10:00 jioni…