AZAM FC,YANGA, SIMBA KUPAMBANA NA HAWA FA

KAMATI ya Mashindano ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) ilitangaza ratiba ya hatua ya 16 bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) maarufu kama FA. Simba ina kazi ya kusaka ushindi dhidi ya African Sports ya Tanga, Machi 2, Uwanja wa Mkapa, Yanga dhidi ya Tanzania Prisons Machi 3 Uwanja wa Mkapa. Geita…

Read More

AKILI KUBWA MZUNGUKO WA PILI MATUMIZI YA NGUVU NI MAUMIVU

MZUNGUKO wa pili huwa unakuwa na mambo mengi jambo ambalo huwafanya wachezaji wengi kutumia nguvu kubwa kusaka ushindi. Ukweli ni kwamba mechi za wakati huu ni lala salama kwa kuwa kitakachofuata ni maamuzi ya nini kitatokea kwa kile ambacho kimepandwa. Benchi la ufundi, uongozi pamoja na mashabiki muda wa kujipanga kwa makosa ya mzunguko uliopita ni sasa na itasaidia kuwa kwenye ushindani mzuri. Mashabiki na…

Read More

LIGI KUU TANZANIA BARA KUKIWASHA LEO

FEBRUARI 6,2023 Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea leo kwa timu kusaka pointi tatu muhimu. Ni Polisi Tanzania watakuwa Uwanja wa Ushirika Moshi wakimenyana na Kagera Sugar ndani ya dakika 90. Polisi Tanzania imekusanya pointi 15 kibindoni baada ya kucheza mechi 21 huku Kagera Sugar wakiwa wamekusanya pointi 25 kibindoni. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na…

Read More

ADRAR UWANJA BORA NDANI YA MTWARA YA MOROCCO

NA SALEH ALLY, AGADIR KAMA Morocco ingepata nafasi ya kuandaa Kombe la Dunia mwaka 2010, Uwanja wa Adrar ulipangwa kutumika kwenye moja ya michezo muhimu ya mtoano ya hatua ya robo fainali. Bahati mbaya kwa Morocco, nafasi hiyo ikaenda kwa Afrika Kusini na baada ya hapo, wakaamua kuendeleza taratibu ujenzi wa uwanja huo hadi ulipokamilika…

Read More