BEKI YANGA AWEKA REKODI YAKE KIMATAIFA

BEKI mzawa Bakari Mwamnyeto kwenye anga la kimataifa ana pasi mbili kàtika Kombe la Shirikisho Afrika. Pasi zote mbili alitoa akitumia mguu wa kulia nchini Nigeria ubao ulisoma Rivers United 0-2 Yanga. Pasi zote alitoa kipindi cha pili ambapo moja ilikuwa nje ya 18 na moja ndani ya 18. Pasi hizo mbili mtupiaji alikuwa ni…

Read More

KIMATAIFA KAZI BADO HAIJAGOTA MWISHO

SIO utani kwenye kusaka ushindi kimataifa kazi ni ngumu ndani ya dakika zote 180 licha ya kuwa kila timu kufanya maandalizi mazuri. Uwanja wa Mkapa, Simba walianza kazi yao kwa kupata ushindi dhidi ya Wydad Casablanca kisha mchezo unaofuata utakuwa ugenini. Hakika kwa ushindi wa mchezo wa kwanza Simba mnapaswa pongezi huku mkitambua kuwa mna…

Read More

RIVERS UNITED 0-0 YANGA

UBAO wa Uwanja wa Godswill Akpabio huko Nigeria unasoma Rivers United 0-0 Yanga ikiwa ni dakika 45 za awali. Yanga inaliandama lango la wapinzani wao katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika wakimtumia Fisto Mayele na Aziz KI. Mashuti 6 Yanga wamepiga matatu yamelenga lango huku Rivers wakiwa wamepiga mashuti 7 hakuna hata moja lililolenga…

Read More

AZAM FC YAISHUSHA SINGIDA BIG STARS

USHINDI waliopata dhidi ya Ruvu Shooting unawapeleka nafasi ya tatu kwenye msimamo 53. Ubao wa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro ulisoma Ruvu Shooting 1-3 Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, Aprili 22,2023. Ruvu wanagotea nafasi ya 16 wana pointi zao 20 wamecheza wote mechi 27. Azam FC wanaishusha Singida Big Stars kwenye nafasi ya…

Read More

SALIM PONGEZI SAWA LAKINI TIMU INAZIDI KUIMARIKA

ANGALAU kwenye ukuta wa Simba kuna makosa yanazidi kufanyia kazi hasa eneo la ulinzi ambalo limekuwa lifanya makosa mengi makubwa yanayoigharimu timu. Ukimpongeza Ally Salim kwenye mechi tatu ambazo amekaa langoni ukamuweka kando nahodha Mohamed Hussein bado utakuwa hujatenda haki. Ipo wazi kwamba kwenye mchezo dhidi ya Yanga, Mohamed alifanya makosa mengi ambayo yalimpa mtihani…

Read More

KAZI YA KWANZA KIMATAIFA HAIKAMILISHI HESABU BADO

MATOKEO ya mchezo wa kwanza hayana maana kwamba safari imegota mwisho kwa kila timu bali ni mwendelezo kwenye mchezo unaofuata. Hakika kwenye mechi za kimataifa wawakilishi wana kazi kubwa kusaka ushindi ili kupata matokeo mazuri ambayo yatawapa furaha mashabiki na Tanzania kiujumla. Kwa wakati huu kwenye hatua ya robo fainali ni mechi mbilimbili zinachezwa kwa…

Read More

TWAHA KIDUKU AFANYA KWELI

BONDIA Twaha Kiduku amechapa Lago Kiziria kutoka Georgia kwa pointi na kufanikiwa kutetea taji lake la UBO huku akishinda taji jipya la PST hapa katika Ukumbi wa Tanzanite, Morogoro. Baada ya ushindi huo Twaha ambaye ni mzawa ameweka wazi kuwa furaha ya ushindi ni kubwa na hatarudi nyuma kwa kuwa anahitaji kufanya vizuri zaidi. “Wamezoea…

Read More

SIMBA YAIBUKA NA USHINDI DHIDI YA WYDAD

KIWA Uwanja wa Mkapà klabu ya Simba imepata ushindi wa bao 1-0 Wydad Casablanca. Huu ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali na bao limefungwa na Jean Baleke dakika ya 30. Licha ya kuwa na mabadiliko katika kikosi cha kwanza akianza Ally Salim langoni bado walikuwa na kushinda mchezo huo. Baleke…

Read More

POLISI TANZANIA YAPANDA NAFASI MOJA

USHINDI ambao wameupata Polisi Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu umewaondoa kutoka nafasi ya 16 mpaka 15. Katika mchezo uliochezwa Aprili 21 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Polisi Tanzania 2-1 Ihefu. Mabao ya Ihefu yalifungwa na Kelvin Sabato huku lile la Ihefu likifungwa na Adam Adam. Ushindi huo unaifanya Polisi…

Read More

SIMBA 1-0 WYDAD CASABLANCA

UBAO wa Uwanja wa Mkapa unasoma Simba 1-0 Wydad Casablanca ikiwa ni hatua ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Bao la kuongoza limefungwa na mshambuliaji Jean Baleke akiwa ndani ya 18 dakika ya 30. Dakika 45 za mwanzo Simba imepata umiliki wa asilimia 55 huku Wydad wakiwa na umiliki wa asilimia 45. Ushindani ni mkubwa huku…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

IKIWA ni mchezo wa hatua ya robo fainali ni Ally Salim ameanza langoni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali dhidi ya Wydad Casablanca. Shomari Kapombe, Henock Inonga,Joash Onyango na Mohamed Hussein hawa upande wa ulinzi. Mzamiru Yassin na Sadio Kanoute hawa upande wa viungo wakabaji. Kibu Dennis, Saidi Ntibanzokiza na Clatous…

Read More