
YANGA WAIVUTIA KASI SINGIDA BIG STARS
MENEJA wa Yanga, Walter Harrison ameweka wazi kuwa wachezaji wapo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Big Stars. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Liti, Mei 4,2023 ikiwa ni mzunguko wa pili. Katika mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 4-1 Singida Big Stars. Kikosi hicho chini ya…