
SIMBA KAMILI KUIKABILI AZAM FC
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao ujao dhidi ya Azam FC. Mshindi wa mchezo huo atakutana na mshindi kati ya Singida Big Stars v Yanga mchezo unaotarajiwa kupangiwa tarehe kutokana na Yanga kuwa na kazi ya kusaka ushindi mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Ni Mei…