
VIDEO: JEMBE AFUNGUKIA ISHU YA FEISAL NA SIMBA NA ARAJIGA
LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa habari za michezo Bongo, Saleh Jembe amefungukia ishu ya uwezo wa Feisal Salum na mwamuzi Ahmed Arajiga uwezo katika mechi za ushindani.
LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa habari za michezo Bongo, Saleh Jembe amefungukia ishu ya uwezo wa Feisal Salum na mwamuzi Ahmed Arajiga uwezo katika mechi za ushindani.
RICARO Momo mchambuzi wa mpira Bongo ameweka wazi kuwa waamuzi wa Bongo sio wabaya ila wanafanywa kuwa wawe wabaya akiwa na simulizi kuwa kuna mwamuzi aliwahi kulala kwenye hotel ambayo kwa posho yake hawezi kulala. Kwa upande wa Simba kupata pointi moja mbele ya Azam FC sio kosa la Fadlu Davids bali ni ubora wa…
WAUAJI wa Kusini, Namungo wamesepa na pointi moja Azam Complex ubao uliposoma Azam FC 1-1 Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliokuwa na ushindani mkubwa mwanzo mwisho katika kuvuja jasho dakika 90. Bao la mapema kwa Namungo lilifungwa na Hamis Halifa dakika ya 12 akiwa nje ya 18 akitumia pasi kutoka kwe Legend,…
VINARA wa Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika, Yanga Februari 28 2025 watakuwa kibaruani kusaka pointi tatu dhidi ya Pamba Jiji. Yanga baada ya mechi 21 ambazo ni dakika 1,890 wamekomba pointi 55 na safu ya ushambuliaji imetupia mabao 55 ikiwa ni namba moja kwa timu zenye mabao mengi ndani ya…
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa kupata sare mbele ya Azam FC kwa kuvuna pointi moja haikuwa rahisi kutokana na ubora wa mpinzani wao na kuna mechi 10 ambazo zimebaki hizo ni za machozi na damu kutokana na kila timu kupambana kuvuna pointi tatu muhimu.
YANGA hawacheki na wowote huko ni spidi ndefu kila kona kutokana na rekodi ambazo zinaandikwa na wachezaji wao uwanjani katika eneo la kufunga na kutoa pasi za mabao, iwe wameanza kikosi cha kwanza ama wameanzia benchi. Mchezo dhidi ya Mashujaa uliochezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, Februari 23 2025 baada ya dakika 90 ubao ukasoma Mashujaa…
PASCAL Msindo kwa asilimia 80 aliwanyima ushindi Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara Februari 24 2025 kwenye Mzizima Dabi kutokana na kutimiza majukumu yake kwa umakini asilimia 100. Utulivu kwenye miguu yake ulikuwa ukiwavuruga mabeki wote wa Simba ambao ni watengeneza mipango namba moja kwa kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Alikuwa…
Manchester United imefanikiwa kuondoka na pointi zote tatu nyumbani dhidi ya Ipswich Town katika dimba la Old Trafford. Kwingineko Erling Haaland amefunga goli moja na kufikisha jumla ya magoli 20 kwenye Ligi Kuu England msimu huu akiipatia Manchester City ushindi wa 1-0 dhidi ya Tottenham Hotspur wakati Washika Mitutu Arsenal wakishindwa kutamba ugenini dhidi ya…
Klabu ya Mashujaa Fc imethibitisha kumfuta kazi kocha mkuu Mohamed Abdallah ‘Baress’ baada ya kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kocha huyo kufuatia mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo vikiwemo vipigo viwili mfululizo dhidi ya Yanga Sc (5-0) na Singida Black Stars (3-0) Taarifa ya Februari 26 iliyotolewa na klabu hiyo imeeleza kuwa Uongozi wa klabu…
Early payout kwasasa ndio mchongo mpya ambao Meridianbet wamekuja nao ambapo kupitia michezo mbalimbali ambayo itakwenda kuchezwa usiku wa leo itakuwezesha kushinda mamilioni leo. Mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wamekujia na chaguo linaloitwa Early payout ambapo unaweza kushinda mkeka pale tu timu zoako ulizochagua zitaongoza kwa tofauti ya magoli mawili, Mfano leo Bayern Munich…
Katika kuendelea kuhakikisha kuwa mazingira yanazidi kuwa bora zaidi, Meridianbet iliamua kurejesha kwa namna ya pekee ambapo safari hii wameamua kupanda miti Mbezi Juu. Meridianbet, kampuni inayoongoza katika sekta ya kubashiri na michezo, imeendelea kuonyesha uwajibikaji wake kwa jamii kwa kuanzisha na kuongoza zoezi la upandaji miti katika Kata ya Mbezi Juu, Dar es Salaam….
Kupitia ligi mbalimbali ambazo zitakua zinachezwa leo zikiongozwa na ile ligi pendwa duniani pale nchini Uingereza kutakua na michezo ya kutosha ambayo itatoa fursa kubwa ya kupiga mkwanja kupitia Meridianbet leo. Licha ya kuweza kubashiri na kupiga mkwanja lakini pia Meridianbet wanakupa fursa ya mkeka wako mapema kupitia chaguo la Early payout, Bashiri michezo mbalimbali…
Abdutwalib Mshery, kipa wa Young Africans SC, amefunga ndoa rasmi.
Jumanne ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Tukianza na EPL kule Uingereza leo, vijana wa Marco Silva Fulham, watasafiri kupepetana dhidi ya Wolves ambao walishinda mechi yao iliyopita, huku mwenyeji yeye akicheza kichapo…
BAADA ya Februari 24 2025 ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 2-2 Azam FC mabosi hao wakigawana pointi mojamoja na matajiri wa Dar, Azam FC, Simba wametoa tamko lao kuhusu aina ya matokeo hayo. Kupitia kwenye ukurasa wa Instagram wa Ahmed Ally ambaye ni Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameandika namna…
KIUNGO wa Yanga, Pacome amesema kuwa hesabu kubwa ni kupata pointi kwenye mechi ambazo wanacheza uwanjani wakiwa hawana muda wakupoteza kwa sasa. Katika mchezo dhidi ya Mashujaa uliochezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma, baada ya dakika 90 ubao ulisoma Mashujaa 0-5 Yanga huku Pacome akichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo na alitoa…
REKODI ya kipa namba moja wa Simba, Mousa Camara kuvuna hati safi mbele ya Azam FC kwa mara nyingine tena mzunguko wa pili, Februari 24 2025 iligonga mwamba kwa kushuhudia akitunguliwa mabao mawili ndani ya dakika 90. Mapema Camara alitunguliwa dakika ya kwanza na nyota wa Azam FC, Gibrill Sillah na bao hilo liliwekwa usawa…