
PUMZIKA KWA AMANI RAPHAEL DWAMENA
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Ghana, Black Stars, Raphael Dwamena amefariki dunia baada ya kuanguka uwanjani wakati wa mechi kati ya timu yake ya Egnatia Rrogozhine ya nchini Albania dhidi ya Partizani. Mtandao wa soka wa Citi Sport umeripoti kuwa habari za kifo chake zimekuja baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28…