
SIMBA YAINGIA MCHECHETO KISA BIG MAN
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa tayari unaendelea na maandalizi ya mechi za ushindani zilizo mbele yao ikiwa ni mchezo wa hatua ya CRDB Federation Cup dhidi ya Big Man ambao unatarajiwa kuchezwa Machi 27 2025, Uwanja wa KMC Complex. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amebainisha kuwa wanatambua uwepo wa mechi…