
HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA
LIGI Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika inaendelea mzunguko wa pili ambapo kuna wababe watakuwa kazini kusaka pointi tatu muhimu ndani ya dakika 90 za kazi. Ni JKT Tanzania iliyo nafasi ya 6 kwenye msimamo baada ya mechi 23 huku safu ya ushambuliaji ikiwa imetupia mabao 18 na ukuta kuruhusu mabao…