TP Mazembe Yapigwa Marufuku ya Kusajili na FIFA

TP Mazembe, moja ya vilabu vya kandanda vilivyopambwa na ushawishi mkubwa barani Afrika, imepigwa marufuku ya kusajili mara moja na FIFA, uamuzi ambao umeleta mshtuko. Adhabu hiyo ina maana kwamba wababe hao wa Congo wamezuiwa kusajili wachezaji wapya hadi taarifa nyingine itakapotolewa, hivyo basi kusimamisha shughuli zao za uhamisho. Marufuku hiyo ni sehemu ya hatua…

Read More

Simba SC vs de Tunis, Mpanzu ameanzia benchi

Simba SC vs de Tunis ni mchezo wa hatua ya makundi unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Februari Mosi 2026. Kwenye kikosi cha kwanza winga Ellie Mpanzu ameanza benchi huku kiungo mshambuliaji Clatous Chama akianza kikosi cha kwanza. Mshambuliaji Seleman Mwalimu na Jonathan Sowah wote wapo benchi huku kiungo mshambuliaji Gueye akipewa jukumu eneo la ushambuliaji….

Read More

CAF yaipiga faini ya dola 200,000 Morocco kwa kutaka ‘kuiba’ taulo la Senegal

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imeorodhesha adhabu walizotoa kwa Morocco na Senegal kufuatia vurugu iliyoshuhudiwa wakati wa fainali ya AFCON 2026. Mashabiki wengi wa mpira walikuwa na hamu ya kujua hatua zipi zitashukuliwa na shirikisho hilo huku kila upande ukiamini mwenzake alikosea na anafaa kupata adhabu kali zaidi. CAF limempiga marufuku kocha wa Senegal, Pape…

Read More